Asante kwa kumbu kumbu.
😀aya[emoji23][emoji23], sawa.
HahahWapishi wengi huharibu mchuzi
Manahodha wengi chombo huenda mrama
By the way...what hole are we talking about?
Hizo mbwembwe tu bro. Deep down they know the truth...nothing is like a cute girl on this universe [emoji16][emoji16][emoji16]
Nitakutafutia bro...Nilizipata mpya naona nimezifuta [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu hauna picha ya yule mrembo wangu (Nurse)
Vipaji kama hivii kuonekana tena ni range ya karne.Kila chenye mwanzo kina mwisho
View attachment 891798