Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwanini umefanya uzembe kuuachia upotee?Hahahahaha!! Umekwenda na mafuriko. [emoji23]
Hata mie nashangaa kwanini nimefanya uzembe. [emoji23]Kwanini umefanya uzembe kuuachia upotee?
Mkuu hauna picha ya yule mrembo wangu (Nurse)
Unashangaa au unajishangaza? urudishe sasaHata mie nashangaa kwanini nimefanya uzembe. [emoji23]
Wale watu wanasema uzuri sio sura, don't.Who doesn't bro?
Pyaar Wapi ule msambwanda?
[emoji23][emoji23], sawa.Unashangaa au unajishangaza? urudishe sasa
Hizo mbwembwe tu bro. Deep down they know the truth...nothing is like a cute girl on this universe [emoji16][emoji16][emoji16]Wale watu wanasema uzuri sio sura, don't.