# ujinga ni nini ?
~kutoa mimba halafu unalala na midoli
ujinga ni kuweka vocha simu, wakati data iko
on.
ujinga ni kuacha kupalilia viazi shambani n
kwenda hotelini kununua chips.
ujinga ni kununua kiberiti na kutaste zote
kama zinawaka.
ujinga ni kumwambia demu nkupnda na
kusubiri jibu wakt ujauliza swali
ujinga ni kuzifuta namba ya demu wako
wakati unazo kichwani
ujinga ni kuosha ndiz maganda yake na bado
unamenya na kuyatupa.
ujinga ni kusema upo single wakti una mtoto
wew ni chizi
ujinga ni kukariri vitu ambavyo INA maana
mbili mfn r.I.p. relationship in progressive
( mahusiano yanaendelea)
# taja ujinga mwingine# maana ujinga ni kusoma
alfu usitaje huo ni ujinga na nusu kama ni bifu
iwe bifu na robo!