myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hao ni wazururaji tu....muuzaji lazima awe na mnunuzi!!!kwani kununua 'changudoa' ni kosa la kisheria?
Ndiyo yenyewe[emoji16] [emoji16]Hizi mbwembwe hizi si ajabu Dubai hii...
Ile emoj ya kiss inastahili hapa ila siioniNimekumiss piaa Davet [emoji4][emoji4]
Natamani kuwa na bustani kama hii kwenye kibanda changu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wameingia kwenye anga la mzee wa "kipigo cha mbwa koko" na "watapata taabu sana"...Hao ni wazururaji tu....muuzaji lazima awe na mnunuzi!!!
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23]Ile emoj ya kiss inastahili hapa ila siioni
Fatal heart attack...Tena akiwa anafanya kazi ya Mungu. Mchungaji ameondoka vizuri japo kwenye uzi wengine wasiopenda sala za marehemu wamemkomalia...