myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
wafanyeje sasa....
wafanyeje sasa....
Mida ya juichii ya parachichiiiiiiMida yetu inakaribia sasa
Duh!!Safari ya kwenda Cape Verde na Dreamliner imebuma.-C10, muda huu.
✔✔Mida ya juichii ya parachichiiiiii
Natamani kuwa na bustani kama hii kwenye kibanda changu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Mchezo, Dkt Harrison Mwakyembe amesema ndege ya Dreamliner iliyokuwa iwapeleke wachezaji waTaifa Stars haitawapeleka tena kwa sababu Uwanja wa ndege wa Cape Verde kuwa mdogo, hautaruhusu Dreamliner itue nchini humo.Safari ya kwenda Cape Verde na Dreamliner imebuma.-C10, muda huu.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Ewaaah hapo siku yangu inaisha vizuri sasa View attachment 892314View attachment 892315View attachment 892317
Ewaaah humo humoMida ya juichii ya parachichiiiiii
Kwema brathee, Mungu anaendelea kuwa mwema.Shiro kwema?
Nilikuulizia jana hapa nikaambiwa uko salama. Mrudishe na Kasmati please...
Imagine uwe na bustani ya hivi na palm trees na kaswimming pool au kajakuzi ka kibishi bishi hapo. Jioni umechoka unajipumzisha hapo na glasi yako ya Kombucha huku ukisikiliza kumuziki uupendao na familia yako. Safi sana !!!Unaweza mkuu, jipange tu
Mara tatu zote za nini?[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kutongoza Mwisho Mara Tatu Tu Zaidi Ya Hapo Unakua Usumbufu Hata Kwa Yule Unaemtongoza.
Safi sana...Imagine uwe na bustani ya hivi na palm trees na kaswimming pool au kajakuzi ka kibishi bishi hapo. Jioni umechoka unajipumzisha hapo na glasi yako ya Kombucha huku ukisikiliza kumuziki uupendao na familia yako. Safi sana !!!
😂😂😂😂Mara tatu zote za nini?[emoji16] [emoji16] [emoji16]