Na hasa hasa kama utaijenga mitaa au vijiji vya mkoa ulikozaliwa itapendeza zaidiImagine uwe na bustani ya hivi na palm trees na kaswimming pool au kajakuzi ka kibishi bishi hapo. Jioni umechoka unajipumzisha hapo na glasi yako ya Kombucha huku ukisikiliza kumuziki uupendao na familia yako. Safi sana !!!
Kongowe hakuna mpangilio mkuu,[emoji16] [emoji16] labda juu ToangomaMbona ni kama kwetu tu huku Kongowe? [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa, karibu tena nyumbaniNipo Moud, mambo mengi tu.