Asante Shiro. Fikisha salamu kwa binti yangu. Naona mnakuja kwa kupokezana. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwema brathee, Mungu anaendelea kuwa mwema.
Hahaha kasmart yupo ushagz atakuja tu.
Wanaanzishwa wakiwa wadogoooo !!!
Safi mambo, mbona unapotea sanaHabari yako Moud?
[emoji23][emoji23]Jezi [emoji23]atakuja na yeye muda sio mrefu.Asante Shiro. Fikisha salamu kwa binti yangu. Naona mnakuja kwa kupokezana. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] msala huoWasiojulikana loading....Roma Mkatoliki version 2
View attachment 892323
[emoji238]MABAO YA LIONEL MESSI KWA MWAKA
2009 - 41
2010 - 60
2011 - 59
2012 - 91
2013 - 45
2014 - 58
2015 - 52
2016 - 59
2017 - 54
2018 - 41 (hadi sasa)
Mbona ni kama kwetu tu huku Kongowe? [emoji16][emoji16][emoji16]Jiji lilillopangiliwaView attachment 892332
Nipo Moud, mambo mengi tu.Safi mambo, mbona unapotea sana