Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539107140149.jpg
 
Jamani, raha ya ndoa sio kugegedana na kupeana maromance

Kuoga kwa pamoja pia ni raha sana jamani

Nendeni mkaoge kwa pamoja bana muepushe mambo mengine ya kutiana aibu kama kuchunguzana sms kwenye simu pindi mwenzi wako ameenda kukoga

Ikiwezekana mbebe mwenzio kabisa hadi bafuni.
Hii raha sio ya ndoa tu, ata katika mahusiani tu
 
Back
Top Bottom