Did he put a ring on it? Kama alizembea ni free for all na hakuna cha moto wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]Hebu Fikiria Unaenda Motoni Kwa Dhambi ya Kuiba Demu Wa Mtu.
Bora kuaga kuliko ukimbie, aya leta umbea sasa nakusikiliza
Music Music [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]Aston Martin
Kule hawajambo kabisa aisee, wanakusalimia tu m/kiti wa kamati ya roho mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]eti umbea, Kule nyumbani kwingine hawajambo?