Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini ni kumuonea tu dogo. Hana kosa [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimkweli, cheki na huyu
tapatalk_1538566893268.jpeg
 
Wamerikan wananiacha hoi kwa majina wanayotoa kwa vimbunga.
Wamependekeza kuwa vimbunga visipewe majina ya kike kwa sababu watu huwa hawavichukulii siriazi. Na tafiti zimeonyesha hivyo. Hurricane Katrina ile hatari kabisa watu hawakuichukulia siriazi sababu ya jina. Huko mbele nadhani majina yote yanaweza kuwa ya kiume...

Majina haya huchaguliwa randomly na kompyuta na jina likishatumika basi linapumzishwa !!!
 
Back
Top Bottom