Mh!Najifunza emoji,sina application so nikiandika hizo namba inatokea emoji mfano namba 8 ni emoji ya kiss mrusho [emoji8 ] ukibananisha hilo bano inatokea emoji
Poleni bro.Huu ni muziki mzito. Hiki kitakuwa cha tatu au cha nne sasa. Ni kwenda kwenye nyumba imara yenye madirisha imara na kusubiri tu kipite hakuna namna
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nyumbu, jina lao linasadifu tabia zaozamkinyumbu
kibonge yuko safi sana