Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,940
Kua na mwili kama huo ni uzembe
Kua na mwili kama huo ni uzembe
Asante bro. Kawaida tu. Sema tu umeme lazima ukatike hata zaidi ya wiki...inconveniencePoleni bro.
Goti lake gumu kama jiweChuma cha puaView attachment 893001
Hao wasia hawanaga vyura sijui kwaniniChura madhubuti kama chungwa
Minofu 3%Hao wasia hawanaga vyura sijui kwanini
Kama mapachaDuniani wawili wawili
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Goti lake gumu kama jiwe
97℅ mifupaMinofu 3%
Hahahahaha!Vipele: Sijui inasababishwa na nini(sio mtaalam mie) ila nahisi ni kutoijali ngozi ya sehemu hiyo ndio inachangia....huisugui ukioga, huilainishi kwa mafuta, unavaa chupi za Mpira badala ya Pamba, huifanyishi Mazoezi, Haipati Hewa wala Mwanga wa Jua + unapenda sana kukaa chini*.
Sasa mwanamke(na mwanaume) fanya yote ambayo ni kinyume ya nilichosema hapo juu. Najua unajiuliza utapataje Jua makalioni eti?!!
Food chain....
Hahahahaha!Weusi wa Kwapa na Vipele Makalioni....
Well Weupe huwa hawawi na weusi kwapani bali Unjano au Ukahawia....wale wenye nywele nyeusi sasa ni another case.
Kuhusu Vipele makalioni havina Ubaguzi, raha ya vipele vile ni kwamba havionekani kwa Macho....utajua unavyo kwa kujipapasa, au gusa ngozi yako....inakuwa kama ina "mikwaruzo" wajua ile nanihii ya kupiga Msasa mbao? Yep ndio feels kama hivyo!
Usione haya sio Ugonjwa na wala sio Tatizo kiafya, ni mambo ya Urembo tu na yawapata watu mbali mbali Ulimwenguni.....kama urembo sio issue kwako basi baki na Mapele yako na uyafurahie!
Uko sahihi ingawa tuna ubongo vijiko kumi.97℅ mifupa
Kuanzia sasa ukatibu mkuu wa CHAWAMITA ni wako. Safi sana !!!