Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kua na mwili kama huo ni uzembe
Siyo kweli....

Kuna mambo mengi scientifically behind it. Kuna watu hata afanyeje hawezi kukonda kwa level ya Kimagharibi tunayoaminishwa kuwa ndiyo inafaa. Isitoshe dunia ya vimbaumbau tupu itakalika? Unajua mikwara na ishu za vimbaumbau (vingi) mkuu? Gubu. Visasi. Roho mbaya. Mapepe...
 
Dar es salaam
FB_IMG_1539160933286.jpg
 
Back
Top Bottom