Hahaha, majeshi yote yanakuwa yamehamia kwenye mzigo% kubwa ya mizigo mikubwa ubongo wake ni ¼ kijiko.
toa likes pata likesNamimi like
Chuki uchawi, umbeya nk.Siyo kweli....
Kuna mambo mengi scientifically behind it. Kuna watu hata afanyeje hawezi kukonda kwa level ya Kimagharibi tunayoaminishwa kuwa ndiyo inafaa. Isitoshe dunia ya vimbaumbau tupu itakalika? Unajua mikwara na ishu za vimbaumbau (vingi) mkuu? Gubu. Visasi. Roho mbaya. Mapepe...
Nimeshampa ukatibu mkuu wa CHAWAMITA ofishale...safii
wapi SYB...
Jiwe akiiona hii atataka ijengwe pale coco
Easytoa likes pata likes
Hiyo pembe tatu,[emoji41][emoji41]Nimeshampa ukatibu mkuu wa CHAWAMITA ofishale...
View attachment 893063
safiiiNimeshampa ukatibu mkuu wa CHAWAMITA ofishale...
View attachment 893063
Angalia namna nyingine ya maisha, hapo ulipo siyo kabisa. Labda kama upo kufanya kazi ya Mungu vinginevyo hapafaiShule na maktaba zote za umma zimejengwa kwa mawe na au kuta nene za matofali ya kuchoma au simenti. Nyingine pia zimewekewa madirisha maalum ambayo yanaweza kustahimili upepo mkali sana bila kupasuka. Wakati wa vimbunga kama hivi mnaweza kuambiwa kuhamia huko kwa muda mpaka kipite. Watu wengi hupoteza maisha si kutokana na kimbunga chenyewe kinapopita bali mafuriko yanayoachwa japo wachache huweza kuangukiwa na miti, nyaya za umeme na makorokocho mengine. Wengi pia hufa kwenye magari yao kwa kutochukua tahadhari. Mtu anaona maji barabarani anadharau anajaribu kupita na gari lake kumbe maji hayo yana kina kirefu anaishia kuzama.
Ila wakati kikija hata kama ni mchana inakuwa giza totoro upepo mkali sana nyumba inatikisika na maji yanamwagika tu utafikiri gharika ya Nuhu. Umeme unakatika hata kwa wiki kadhaa. Maisha yanakuwa disrupted.
Mkuu habari.
Mkuu habari.
Mkuu picha zako zinamtoa nyoka mahali alipojificha[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
😀😀😀😀😀😀😀Mkuu habari.
Mkuu picha zako zinamtoa nyoka mahali alipojificha[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
😛😛 Acha nizidishe huyo nyoka atoke tumpige mawe.Mkuu habari.
Mkuu picha zako zinamtoa nyoka mahali alipojificha[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119] [emoji119]