ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kama mwengelo
Yuko sawakibonge yuko safi sana
Duniani wawili wawiliKama mwengelo
Shule na maktaba zote za umma zimejengwa kwa mawe na au kuta nene za matofali ya kuchoma au simenti. Nyingine pia zimewekewa madirisha maalum ambayo yanaweza kustahimili upepo mkali sana bila kupasuka. Wakati wa vimbunga kama hivi mnaweza kuambiwa kuhamia huko kwa muda mpaka kipite. Watu wengi hupoteza maisha si kutokana na kimbunga chenyewe kinapopita bali mafuriko yanayoachwa japo wachache huweza kuangukiwa na miti, nyaya za umeme na makorokocho mengine. Wengi pia hufa kwenye magari yao kwa kutochukua tahadhari. Mtu anaona maji barabarani anadharau anajaribu kupita na gari lake kumbe maji hayo yana kina kirefu anaishia kuzama.Hakuna hata utaratibu wa kuhamisha watu kwa muda?
Hapo anasubiri tu afike home [emoji16][emoji16][emoji16]
ChuraLessChuma cha puaView attachment 893001
Chura madhubuti kama chungwaChuraLess