ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
KweliFood chain....
Naye akifa wenzake na huyo anayemla watamla....Mzunguko wa kufaidishana !!!
KweliFood chain....
Naye akifa wenzake na huyo anayemla watamla....Mzunguko wa kufaidishana !!!
Kuna umuhimu gani wa kukaa kwenye foleni? Hata akifanya hivi halafu ni fisadi inasaidia nini?
Binadamu. Kuuana tu. Sayari hii ina kila kitu. Shida ulafi na ubinafsi. Shwaiiini!!!
Huyo jamaa aliyeinama kwenye gari anafanya nini?
safii
Too much. Hapa inabidi ujipange sawa sawa na uwe sawa kiafyaAfrican sizedView attachment 893018
Bakuli la karanga mbichiToo much. Hapa inabidi ujipange sawa sawa na uwe sawa kiafya
Na hiyo mikucha ndo anaamini kuwa katokelezea [emoji16][emoji16][emoji16]