Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamerikan wananiacha hoi kwa majina wanayotoa kwa vimbunga.
Wamependekeza kuwa vimbunga visipewe majina ya kike kwa sababu watu huwa hawavichukulii siriazi. Na tafiti zimeonyesha hivyo. Hurricane Katrina ile hatari kabisa watu hawakuichukulia siriazi sababu ya jina. Huko mbele nadhani majina yote yanaweza kuwa ya kiume...

Majina haya huchaguliwa randomly na kompyuta na jina likishatumika basi linapumzishwa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…