Binadamu hapewi vyote, na hanyimwi vyote[emoji276][emoji276][emoji276]
Hebu weka vipimo vyako vyote hapa nikufanyie mpango 😀😀😀Hizi suruali zinapatikana wapi bradha?
Nataka moja[emoji23]
Hahahahaha ujumbe keshaupataUtafikiri kalazimishwa kuvishika[emoji23][emoji23]
Mwambie bro.wako aache tabia za kinshomile.
Yawezekana...Ni Bongo hapa?
Hahahahah jiran banadaladala unapanda siku liko sevis... uza hilo uongezee kigogo upate mkoko wa nguvu
Huyu anaweza hata kula kweli???
Hahahahahha bro broAnaza kimbaumbau in da hausi? Leo nitakoma. Kuna likimbunga litafika hapa within few hours anyway. Hakutakuwa na mtandao so I better enjoy now....
Anorher skrinishoti kwaaaa !!!
Hahahahaha!!!Hahahahaha ujumbe keshaupata