myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
nyie wembamba kwa juu tu jirani. namba nane hailingani juu na chini😀😀😀Jirani ako mwembamba kama mie na eric omond[emoji126]
nyie wembamba kwa juu tu jirani. namba nane hailingani juu na chini😀😀😀Jirani ako mwembamba kama mie na eric omond[emoji126]
Utafikiri kalazimishwa kuvishika[emoji23][emoji23]Bro kuna saa anajisahau,mara screenshot,mara hatuna pa kugusa mara ameizing hahahah
Ikitokea sisi tukajenga flyover ya hivi aisee itakuwa mapumziko ya kitaifa mwezi mzima [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] Ndoa zote zitafungwa hapo, birthday ni hapo, kumunio, kipaimara, ubatizo na watalii wa ndani toka kila pembe ya nchi watamiminika kwenda kujifotoa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Anaza kimbaumbau in da hausi? Leo nitakoma. Kuna likimbunga litafika hapa within few hours anyway. Hakutakuwa na mtandao so I better enjoy now....Utafikiri kalazimishwa kuvishika[emoji23][emoji23]
Mwambie bro.wako aache tabia za kinshomile.
daladala unapanda siku liko sevis... uza hilo uongezee kigogo upate mkoko wa nguvuLile la kishoka kwenye daladala nimelichoka
Ni Bongo hapa?
Naaminu katika hilo mkuuSiyo kweli....
Kuna mambo mengi scientifically behind it. Kuna watu hata afanyeje hawezi kukonda kwa level ya Kimagharibi tunayoaminishwa kuwa ndiyo inafaa. Isitoshe dunia ya vimbaumbau tupu itakalika? Unajua mikwara na ishu za vimbaumbau (vingi) mkuu? Gubu. Visasi. Roho mbaya. Mapepe...
Kama farasisiku imeshika kasi