Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

335D7020-A41E-47F1-8C69-FBB353C30957.jpeg
 
Watu walikuwa wanapotea tu ha hamuwasikii tena. Leo watu wanakwoti misemo yake ya demokrasia bila kuelewa. Enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti kuna mtu alikuwa anakohoa?
Nikiona jinsi wanavyomwagia sifa nasisimkwa na kushangaa sana. Binafsi niliteseka kukimbiza magari ya ugawaji kupanga foreni ili tupate kilo 1 ya dona. Mafuta ya kula hakuna, sabuni za kuogea/kufuria hakuna, vibiriti, nguo nk. Petrol hakuna jumapili ukienda disko "boogie" ukichelewa shauri yako. Leo zinaelekezwa sifa mahali pasipostaili. Fool
 
Andaeitini hawaelewi. Jambo pekee linalompa uzito ni kuhusu ufisadi. Ni kweli alikuwa anaamini kabisa kabisa katika siasa zake za Ujamaa japo hakuwa na mfuasi wa kweli hata mmoja - pengine Sokoinne na Kawawa. Yeye mwenyewe kabisa kabisa aliamini katika uadilifu wa viongozi. Jambo la ajabu hata hivyo ni jinsi watu walivyokuwa wakiiba halafu wanabakia kuhamishwa kutoka shirika hili kwenda kwingine...
 
Back
Top Bottom