Andaeitini hawaelewi. Jambo pekee linalompa uzito ni kuhusu ufisadi. Ni kweli alikuwa anaamini kabisa kabisa katika siasa zake za Ujamaa japo hakuwa na mfuasi wa kweli hata mmoja - pengine Sokoinne na Kawawa. Yeye mwenyewe kabisa kabisa aliamini katika uadilifu wa viongozi. Jambo la ajabu hata hivyo ni jinsi watu walivyokuwa wakiiba halafu wanabakia kuhamishwa kutoka shirika hili kwenda kwingine...
Nakuona uko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ni mavitu gani???
Hapa ni mahala sahihi pa kutembea na 100+km/h
Kawaida tu mzee baba[emoji16] [emoji16]Nakuona uko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchana bado upandeUsiku umeingia kwetu
Hahaha, [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kawaida tu mzee baba[emoji16] [emoji16]
Amen, napesaMungu atupe afya na uzima
Hapa ni mahala sahihi pa kutembea na 100+km/h