Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=1f5el9przrftp.jpg
 
Huyu ndie Leleti Khumalo maarufu kama Sarafina ambae kwa sasa anasumbuliwa na ugonjwa wa Vitiligo unaoathiri ngozi yake, Sarafina aligundua ana tatizo hilo akiwa na miaka 24 na aliambiwa tatizo hilo lingekuwa kubwa akipata Mtoto ambapo alikubaliana na hali hiyo na kuamua kuzaa.View attachment 893571

Mwenyezi Mungu amponye
 
Back
Top Bottom