Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaah!!
tapatalk_1539188471729.jpeg
 
Huyu ndie Leleti Khumalo maarufu kama Sarafina ambae kwa sasa anasumbuliwa na ugonjwa wa Vitiligo unaoathiri ngozi yake, Sarafina aligundua ana tatizo hilo akiwa na miaka 24 na aliambiwa tatizo hilo lingekuwa kubwa akipata Mtoto ambapo alikubaliana na hali hiyo na kuamua kuzaa.View attachment 893571

Wanasema ugonjwa huu ndo ulimsukuma Michael Jackson kuanza kujichubua. Bado hauna tiba japo wanasema hauna madhara yo yote mbali na mwonekano huu wa ngozi.
 
Back
Top Bottom