Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pia ilikuwa ngumu kupata ufuasi wa %100 kwakuwa vitu vingi alivipitisha kama anavyotaka bila kuheshimu mawazo mmbadala, ilikuwa lazima akwame. Viongozi wenzake aliwafanya kama wanafunzi tuHuwa namtumia Mwalimu kama mfano wa ile dhana kwamba katika dunia hii huwezi kufanya jambo kubwa peke yako bila ushirikiano na wengine. Hakuwa na mfuasi wa kweli hata mmoja na wengi waliokuwa wamemzunguka mpaka hata wanafunzi wake aliowalea na kuwakuza akina Ben walikuwa siyo wafuasi halisi. Wamekuja kupata nafasi tu basi wakageuka wapigaji.
Hebu fikiria kama angekuwa na wafuasi wa kweli angalau watano hivi katika ngazi za juu huko serikalini. Pengine angeweza kufanikiwa kwa kiasi fulani.
Sisi yaani hata sijui tatizo liko wapi masikini. Huu mradi ungesimamiwa vizuri yaani ungesaidia sana lakini sasa ni business as usual.Hali mbayaView attachment 893574
Safi hiki kitabu
[emoji818][emoji818]
DuhJE WAJUA: Kwa wastani, damu yako inasafiri umbali wa maili 11806 kila siku ndani ya mwili wako. Kama ingekuwa ni safari ya anga za mbali, ungefika mwezini ndani ya siku 20 tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hi
Hapana. Adhabu ni kifungo cha maisha bila possibility of parole....Adhabu ya kifo” ni adhabu?
"Hi"
Daraja la Malagarasi limefungua njia nyingi za ustawi wa Kigoma. Barabara kadhaa zimejengwa huko. Ukiritimba wa TRC, umekomeshwa. Safari ya siku 4-5 ya usfiri wa train ni hiyari ya mtu mwenyeweIla kigoma bado nako hali ni mbaya barabara za kuiunganisha na mikoa mingine
IndeedSafi hiki kitabu
TANZANIA HIYO!Daraja la Malagarasi limefungua njia nyingi za ustawi wa Kigoma. Barabara kadhaa zimejengwa huko. Ukiritimba wa TRC, umekomeshwa. Safari ya siku 4-5 ya usfiri wa train ni hiyari ya mtu mwenyewe
[emoji3][emoji3] hi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hi
I still DO!!