Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

853238033_14121.jpeg
 
Ni modo mzuri sana na anapiga hela ndefu. Yuko mstari wa mbele kupigania haki za wenzake wenye huu ugonjwa ili waache kunyanyapaliwa na wajiamini.
View attachment 893671
Aisee anajiamini sana " nimependa jinsi anavyo jikubali ".. Mungu amsaidie ashinde hiyo kampeni yake " inayo hamasisha jamii kushirikiana na watu wenye huo ugonjwa pasipo na uwepo wa Unyanyapaa
 
Mkuu naona leo wamekukumbusha ya mbaaali.
Mkuu watu wanadhani mwalimu aliacha madaraka kwa kupenda, mwalimu alilazimika kuondoka kwakuwa mawazo yake yalifika mwisho hasa sera za ujamaa ziliposhindwa kumkomboa mtanzania toka kwenye makucha ya maadui watatu ambao yeye mwenyewe altituwekea wazi. Adui ujinga bado tunaye, adui maradhi bado yupo, adui umasikini yupo mpaka sasa
 
Back
Top Bottom