Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Ni kweli, alisoma nyakati.Mkuu watu wanadhani mwalimu aliacha madaraka kwa kupenda, mwalimu alilazimika kuondoka kwakuwa mawazo yake yalifika mwisho hasa sera za ujamaa ziliposhindwa kumkomboa mtanzania toka kwenye makucha ya maadui watatu ambao yeye mwenyewe altituwekea wazi. Adui ujinga bado tunaye, adui maradhi bado yupo, adui umasikini yupo mpaka sasa