Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,265
- 12,732
inakuwaje hii?View attachment VID-20181010-WA0000.mp4
Ila sema tu MJ yeye alizidisha. Angejichubua tu na kujiacha kama alivyo angekuwa sawa. Sema yeye aliharibu zaidi alipoanza na kuigilizia uzungu tena. Mbona akina Vera Sidika wamejichubua na wako sawa tu? Maoperesheni ya kujifanya mzungu ndiyo yalimpa shida. Imagine walikata pua karibu yote eti wanaichonga iwe ya kizungu...Yeah, either way ni risk, unachagua afya au kazi.
Una maoni gani mkuu kuhusu bango hilo?
Yaani kifo kikifika kimefika tu.inakuwaje hii?View attachment 893680
Kama ni muonekano wa nje tuu na hamna maumivu binafsi sioni haja ya kujichubua.
Ila bado kuna hii barabara ya kuiunga na mikoa ya kagera na shinyanga sio nzuri kabisaDaraja la Malagarasi limefungua njia nyingi za ustawi wa Kigoma. Barabara kadhaa zimejengwa huko. Ukiritimba wa TRC, umekomeshwa. Safari ya siku 4-5 ya usfiri wa train ni hiyari ya mtu mwenyewe
Isitoshe alikuwa na mgogoro mkubwa na IMF na walikuwa wamegoma kumpa pesa. Hata mishahara ilikuwa shida kulipa mpaka ya wajeda. Uchumi ulikuwa umedidimia sana. Angeshupaza shingo na kung'ang'ania sijui tungefika wapi. Pengine tungekuwa kama Zimbabwe wakati wa Mugabe. Anastahili sifa kwa kuliona hilo angalau na kuamua kuondoka...Mkuu watu wanadhani mwalimu aliacha madaraka kwa kupenda, mwalimu alilazimika kuondoka kwakuwa mawazo yake yalifika mwisho hasa sera za ujamaa ziliposhindwa kumkomboa mtanzania toka kwenye makucha ya maadui watatu ambao yeye mwenyewe altituwekea wazi. Adui ujinga bado tunaye, adui maradhi bado yupo, adui umasikini yupo mpaka sasa
Duh, radi sio ya mchezo mchezo, wakati nasoma iliwahi kupiga mpapai pale shuleni, ukawa kama vile umebanikwa kwenye moto
Bado na wewe unatumia mtungi[emoji16][emoji16]??[emoji3][emoji3] hi
Ndo maana kaliweka. Three strikes and you are done [emoji16][emoji16][emoji16]Una maoni gani mkuu kuhusu bango hilo?
Ninaafiki, alizidisha aisee.Ila sema tu MJ yeye alizidisha. Angejichubua tu na kujiacha kama alivyo angekuwa sawa. Sema yeye aliharibu zaidi alipoanza na kuigilizia uzungu tena. Mbona akina Vera Sidika wamejichubua na wako sawa tu? Maoperesheni ya kujifanya mzungu ndiyo yalimpa shida. Imagine walikata pua karibu yote eti wanaichonga iwe ya kizungu...