Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Trump imebidi awakomalie anawarudisha nyumbani haijalishi kama ni daktari, injinia au profesa. Makampuni ya Silicon Valley yanapiga makelele kuwa yatakosa wataalamu lakini jamaa hajali. Wanasema ndiyo sababu waziri wake katika Umoja wa Mataifa (wazazi wake wanatoka India) ameamua kujiuzulu ili kupinga sera hizi.I[emoji16][emoji16][emoji16] ia hawa jamaa wahindi wako wengi mno....ili kutoka kimaisha huko uhindi lazima ufight sanaa..