Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=htw1t21kovxp.jpg
 
Trump imebidi awakomalie anawarudisha nyumbani haijalishi kama ni daktari, injinia au profesa. Makampuni ya Silicon Valley yanapiga makelele kuwa yatakosa wataalamu lakini jamaa hajali. Wanasema ndiyo sababu waziri wake katika Umoja wa Mataifa (wazazi wake wanatoka India) ameamua kujiuzulu ili kupinga sera hizi.
Kwaninj anawarudisha? Angewaacha tu wapige kazi,

Alafu jamaa sio wachoyo wa materials kulinganisha wazungu. Huko youtube wamejaa wanatoa shule za mambo mabali mbali. Nawakubali na kile kiingereza chao
 
Asante kamanda. Pamoja na ujanja wao wote bado wanapata tabu sana japo kusema kweli wanajitahidi. Sipati picha mji kama Dar upigwe na hurricane category 4. Mafuriko yake gharika ya Nuhu cha mtoto.
Hahaha, umevotaja categori zza hayo majanga nimekumbuka wakati nasoma kuna category ya earthquake inataka kuwa na jina kama hilohilo CATASTROPHE nini nini sijui, hiyo ikipita haibakizi hata mlima ina fyeka kila kitu..ndiyo earthquake mbaya zaidi kabisa, sidhani kama imeshawahi kutokea....sikumbuki vzr
 
Back
Top Bottom