Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_8714.JPG
 
Hahaha, umevotaja categori zza hayo majanga nimekumbuka wakati nasoma kuna category ya earthquake inataka kuwa na jina kama hilohilo CATASTROPHE nini nini sijui, hiyo ikipita haibakizi hata mlima ina fyeka kila kitu..ndiyo earthquake mbaya zaidi kabisa, sidhani kama imeshawahi kutokea....sikumbuki vzr
Earthquakes hupimwa kwa kutumia kipimo cha Richter na huanzia 1 mpaka 10. Earthquake yenye nguvu kabisa katika rekodi ni 9.5 iliyopiga huko Chile mwaka 1960. 10 kamili haijawahi tokea...







Screenshot_20181010-155430~2.jpeg

Screenshot_20181010-155509~2.jpeg
 
Back
Top Bottom