Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_8722.JPG
 
Dr SYB, nawewe umebobea aisee.Hekima zako si za mchezo [emoji120][emoji120][emoji120]
Pole pole mkuu. U Dr tena? Dah. Parefu sana hapo [emoji16][emoji16][emoji16]

Fomu siksi yenyewe ya shida kamanda.

Asante kama unadhani nina busara. Heshima yangu nilishaivuruga hapa kwenye uzi hasa hasa kwa kukiri waziwazi kuwa napenda misambwanda [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom