moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Soko la kiembe samaki[emoji16]
Soko la kiembe samaki[emoji16]
Pole pole mkuu. U Dr tena? Dah !!!
Fomu siksi yenyewe ya shida kamanda.
Asante kama unadhani nina busara. Heshima yangu nilishaivuruga hapa kwenye uzi hasa hasa kwa kukiri waziwazi kuwa napenda misambwanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Soko la kiembe samaki[emoji16]
Halafu unajua leo sijala chakula cho chote cha maana ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Achari yake ni tamu sana inaongeza hamu ya kula.View attachment 893864
Ubuyu wa Babu Issa
Halafu unajua leo sijala chakula cho chote cha maana ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Urojo aka mix[emoji16]
Imajini ndo unabeba chombo kama hichi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ubuyu wa Babu Issa
Halaaa, Mahiwa street Kariakoo[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Kweli nimekunywa chai tu na vipande vya mkate. Sasa haya mapochopocho haya ya Kizenj dah! Kweli acha tu nijiju [emoji23][emoji23][emoji23]Utajiju[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu kwetu Kariakoo ujipatie urojo wa mzee Kenge[emoji16] [emoji16]
Njaa..Uroho tu.[emoji13]
Kumbe nawe una kaukatili katili fulani hivi ameizingi eeeh! Kweli nimekunywa chai tu na vipande vya mkate. Sasa haya mapochopocho haya ya Kizenj dah! Kweli acha tu nijiju [emoji23][emoji23][emoji23]
Sana sana, nimeumiss sana.Mudy ushawahi kula nini hii kitu?
Ningepika ugali sema tu umeme hakuna. Chips mayai naonaga kama chakula cha wagonjwa tu.Kale chipsi mayai [emoji1787]
Njaa..