myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Alhamisi ingine
Kupenda misambwanda ni kuvunja heshima?[emoji16] [emoji16]Pole pole mkuu. U Dr tena? Dah. Parefu sana hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
Fomu siksi yenyewe ya shida kamanda.
Asante kama unadhani nina busara. Heshima yangu nilishaivuruga hapa kwenye uzi hasa hasa kwa kukiri waziwazi kuwa napenda misambwanda [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16] [emoji16]Uroho tu.[emoji13]
Waa waa[emoji106] [emoji106]
Ndiyo. Watu hawatakuchukulia siriazi mkuu. Kama unataka heshima hapa mtandaoni. Nimeshaambiwa mara nyingi [emoji16][emoji16][emoji16]Kupenda misambwanda ni kuvunja heshima?[emoji16] [emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Halafu unajua leo sijala chakula cho chote cha maana ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Pipii....Ndiyo. Watu hawatakuchukulia siriazi mkuu. Kama unataka heshima hapa mtandaoni. Nimeshaambiwa mara nyingi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 893895