Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
.
Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mahiwa st Kariakoo Dar. Maarufu kwa urojo wa mama kenge na mama khutub wote wahindi.
Sio kweli, sema nini...Wanawake siku hizi tumekuwa watunza siri sana kuwazidi nyie, wanaume wa kizazi hiki ni tofauti na wanaume wahenga[emoji23]..Aaaa wapi!!!
Tena ndo kwanza ungetoa bonge la utetezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] bange za chooni ogopaHizi bangi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 893883
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji109] [emoji109]Unafikiri wote wanaoweka picha za wanawake hawajaoa? Wengine inawezekana wana wake....Burudani ya macho ina umuhimu wake [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanasema ubuyu hupaswi kukaa nao kifuani [emoji16][emoji16][emoji16]Sio kweli, sema nini...Wanawake siku hizi tumekuwa watunza siri sana kuwazidi nyie, wanaume wa kizazi hiki ni tofauti na wanaume wahenga[emoji23]..
Ndiyo. Watu hawatakuchukulia siriazi mkuu. Kama unataka heshima hapa mtandaoni. Nimeshaambiwa mara nyingi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 893895