Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20181010-WA0001.jpg
 
TANZANIA HIYO!
Nchi yetu inapendeza walahi!
Maadui zetu wote wafe wao na vizazi vyao milele yote walahi

AMUN RA.
Linapofanywa jambo zuri ni vema tulifurahie. Kigoma, Rukwa na Katavi ilikuwa shida kuzifikia, lakini leo wakulima wanafaidika kuuza mazao kwa wakati. Serikali iendelee kufanya maboresho ili watanzania wafaidi
 
Asee kwenye utawala wa Mwalimu kulikua ufisadi wa kiwango cha juu. kulikuwa kigogo mmoja anaitwa Boniventura Chambaka, huyu jamaa alikuwa anaaminiwa kuongoza kampuni kubwa kubwa, lakini alizifisadi sana. Mara utasikia ametolewa UFI kapelekwa Aluminium Afrika, ALAF, ukitokea msala utasikia kahamishiwa Urafiki, akikinukisha utasikia yupo Kiwanda cha mbolea Tanga, Akivuruga utasikia yupo Twiga Cement. Na mwenzake alitwa Yesaya Mwailolo wa Bora. Ni ufisadi juu ya ufisadi. Na kwakuwa wakati ule hakukuwa na vyombo vya habari kama ilivyo leo hakukuwa na wa kumkosoa
Mkuu naona leo wamekukumbusha ya mbaaali.
 
Back
Top Bottom