Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh...........

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=uustfsupssej.jpg
 
Leo ni siku ya mtoto wa kike, jiulize kama dada, kaka, mama au baba umekuwa na mchango gani katika jamii ili kuhakikisha mtoto huyu anafikia malengo yake????
Au umekuwa kama chui anayewinda swala msituni??
Tuwapende, tuwalinde ili nao pia waweze kufikia malengo yao.

Kuwa chachu ya maendeleo kwa mtoto wa kike.
20181011_101955.jpg
 
Back
Top Bottom