Mwanamke ambaye haangaiki na simu ya mwanaume wake ni mwenye furaha siku zote
Utafiti uliofanywa n shirika lisilo na mipaka unaonesha mwanamke ambaye hana mda na simu ya mme wake anaishi kwa furaha na amani zaid duniani kuliko wanaohangaika kujua mme wake anampigia nani na anaongea nini, nyingine ni simu za kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.