Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

E5DFD782-622E-42CC-8298-9F869BE456F9.jpeg
 
Mwanamke ambaye haangaiki na simu ya mwanaume wake ni mwenye furaha siku zote

Utafiti uliofanywa n shirika lisilo na mipaka unaonesha mwanamke ambaye hana mda na simu ya mme wake anaishi kwa furaha na amani zaid duniani kuliko wanaohangaika kujua mme wake anampigia nani na anaongea nini, nyingine ni simu za kazi.

Achaneni na simu za waume zenu muwe na furaha.
Nafikiria nikupe zawadi gani
 
Leo ni siku ya mtoto wa kike, jiulize kama dada, kaka, mama au baba umekuwa na mchango gani katika jamii ili kuhakikisha mtoto huyu anafikia malengo yake????
Au umekuwa kama chui anayewinda swala msituni??
Tuwapende, tuwalinde ili nao pia waweze kufikia malengo yao.

Kuwa chachu ya maendeleo kwa mtoto wa kike. View attachment 894157
Mabazazi
 
Ningependa sheria ziongezewe ukali,
Mfano kwa wanaoharibu watoto wadogo miaka 30 na kupigwa rungu la kichwani na lipigwe na mtu mwenye nguvu nyingi.
 
Back
Top Bottom