Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye msiba wa Mv Nyerere alilalamika kuwa katelekezwa kwa kuwa hakukuwa na kiongozi hata mmoja wa kitaifa wa chama chake aliyefika huko kumpa pole. Dalili zilionekana wakati huo...Nasikia Mbunge wa Ukerewe ameipiga chini Chadema, ni kweli? Sijapita Siasani huko!