[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hahahaha!! Fikiria haraka mkuu.
Bageshiii. Ulimhola?Carba, Numbisa, Cole, Shimba ya Buyenzee, Andjul, Hochiminh, Moudgulf.......... Mpooo
Ndivyo ilivyo. Ni dunia ya kula na kuliwa....
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Leo ni siku ya mtoto wa kike, jiulize kama dada, kaka, mama au baba umekuwa na mchango gani katika jamii ili kuhakikisha mtoto huyu anafikia malengo yake????
Au umekuwa kama chui anayewinda swala msituni??
Tuwapende, tuwalinde ili nao pia waweze kufikia malengo yao.
Kuwa chachu ya maendeleo kwa mtoto wa kike. View attachment 894157
Only if everything there is organic and non GMO. Otherwise this pharmacy can be even deadlier !!!
Huenda muda huo alishahamia ccm, yalibaki matangazo na wenzake walishajua hilo. So wakamwacha na CCM wenzake waomboleze.Kwenye msiba wa Mv Nyerere alilalamika kuwa katelekezwa kwa kuwa hakukuwa na kiongozi hata mmoja wa kitaifa wa chama chake aliyefika huko kumpa pole. Dalili zilionekana wakati huo...
View attachment 894382View attachment 894383
In order to make money, you have to solve a problem. If the problem doesn't exist, create it. Capitalism 101.
waombe ama kuhasiwa au kutandikwa rungu zito, gumu na kubwa.
Likitua jichoni sawa, utosini vizuri tu.
Duuu, mwanampotevu, mambo BabeS, mzimaCarba, Numbisa, Cole, Shimba ya Buyenzee, Andjul, Hochiminh, Moudgulf.......... Mpooo
Njema mzimaHabari za siku nyingi