Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatareee sana mpaka tunamsahau MO
Tunapaswa kufanya nini ndo tuonyeshe kuwa hatujamsahau? Dunia hii ndivyo ilivyo. Hata uwe nani maisha ya watu ni lazima yaendelee ukiwepo ama vinginevyo.

Mo bila shaka atapatikana akiwa hai; na sababu za kutekwa kwake zitajulikana na watekaji watapata adhabu yao. Tuendelee kumuombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…