Mmmh hii coment haiendani na mwenye ID. Mwananchi gani huyo mwenye hasira? Jilinde kwanza kabla ya serikali kukulindaHivi Mo Dewji asipopatikana serikali hii ya watu wasiojulikana itaawambia nini wananchi wenye hasira?
Mmmh hii coment haiendani na mwenye ID. Mwananchi gani huyo mwenye hasira? Jilinde kwanza kabla ya serikali kukulinda
Kuna mtoto kapotea(katekwa) wiki ya tatu sasa hajapatikana sembuse MO
Kwani watu wameanza kupotea leo??Hivi Mo Dewji asipopatikana serikali hii ya watu wasiojulikana itaawambia nini wananchi wenye hasira?
The one and only walahiISIS
Salama mkuuMYOYAMBENDI