Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

428927859_249966.jpeg
 
Very sad, nimewaza hapa probably watekaji wanahitaji kiasi cha fedha ndio wamwachie hivyo labda kuna mambo yanaendelea sirini ambayo hatuwezi kuyajua saivi.Akiachiwa ndio tutajua.I pray that awe mzima popote alipo.
Hii siyo ya pesa walahi
 
446730000_232925.jpeg



Siyo maguvu tu. Ishu ni akili zako tu na jinsi unavyoweza kuwa manipulated kisaikolojia. Unaletewa dini mpya. Unavurugiwa falsafa yako ya maisha na mfumo wa kisiasa na kiuchumi. Unaaminishwa kuwa kila kitu kilicho chako ni cha kishenzi. Unafundishwa lugha nyingine. Unapewa jina jipya. Walaaaaa! Mission accomplished. Unajidharau. Unadharau rangi yako. Unadharau kila kitu kinachohusiana nawe. Unakuwa mtumwa kamili hata kama hutawaliwi tena kwa mnyororo na mijeredi !!
 
Back
Top Bottom