Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Very sad, nimewaza hapa probably watekaji wanahitaji kiasi cha fedha ndio wamwachie hivyo labda kuna mambo yanaendelea sirini ambayo hatuwezi kuyajua saivi.Akiachiwa ndio tutajua.I pray that awe mzima popote alipo.
Yawezekana ikawa ni hayo mambo ya ransom. Au pengine dili zao za mapesa marefu huko zimebuma. Matajiri hawa usiwaone hivi. Wana issues nyingi mno za kuhangaika nazo. You have to be brutal and step on other people's heads in order to reach the top. Tuombe tu apatikane akiwa hai ila nchi yetu inabadilika. Kama hawa matajiri wanadakwa mchana kweupe hivi raia wa kawaida ana usalama gani?
 
Sure, hamna usalama tena.
 
Mashimba ga Buyenze [emoji16][emoji16][emoji16]
246936077_69845.jpeg
 
METHALI
utaweza kutambua methali hizi ni zipi? Hebu chemsha akili kidogo.

1. [emoji122][emoji943][emoji90]
2.[emoji60][emoji83][emoji149][emoji381]
3.[emoji1241][emoji124][emoji100]
4. [emoji124][emoji219][emoji501][emoji518]
5.[emoji935][emoji125][emoji777][emoji120]
6.[emoji106][emoji1019][emoji102][emoji107][emoji1019][emoji173]
7.[emoji64][emoji216]=[emoji216]
8.[emoji101][emoji1019][emoji777][emoji381]
9. [emoji104][emoji777][emoji879]
10. [emoji39][emoji654][emoji1019][emoji653]

Mfano: 7 = mtoto wa nyoka ni nyoka
[emoji23]

Hapa najua watu watatoka sifuri
2 baniani mbaya kiatu chake dawa
 
Back
Top Bottom