Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dereva wa Uber amesimulia tukio la kutekwa kwa mtu mmoja jijini Dar es Salaam ambaye amedai kuwa alimtambua kuwa ni mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji.

Dereva huyo, ambaye hakutaka kutajwa jina lake alisema alikuwa akienda kumshusha abiria katika Hoteli ya Collesssium saa 11 asubuhi ndipo alipokutana na tukio hilo.

“Tulikuwa tunakaribia eneo hilo, mara mbele yetu tukaona watu wanne wameshuka kwenye gari dogo wakiwa wamejifunika usoni, wakapiga risasi moja juu, wale askari wa hoteli kila mmoja akakimbia,” anasimulia.

“Waliingia ndani ya hoteli na kutoka na mtu, ambaye nilimjua kuwa ni Mo,” anasimulia dereva huyo ambaye anadai muda mwingi alikuwa amejiinamia kwenye gari akihofia.
hatarii
 
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini kutokea katika bendi Ali Choki amefunguka na kuweka wazi kuwa hivi sasa afya yake inazidi kuimarika zaidi tofauti na siku chache zilizopita. Siku chache tu zilizopita Ali Choki alikuwa Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari, mapafu na presha hali iliyopelekea kulazwa hospitali.
 
Hahahahaha!
20181012_153506.jpg
 
Back
Top Bottom