myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kuelekea wiki endi, Mungu atuepushe na 'wanaoiba' wenzao...
Naona jamaa wamepata upenyo wa kushambulia wanawake huko. Halafu wanawake wala hawajaenda kujibu mapigo kama ilivyo kawaida yao...
kuelekea wiki endi, Mungu atuepushe na 'wanaoiba' wenzao...
sawa sawa jirani nimerekebisha..Sahihisho jirani
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]...'alieibwa'
Halafu sijui kuna trendi kwa hawa mabilionea kuibwa hapa Afrika...Mhhhh !!!sawa sawa jirani nimerekebisha..
Kumekucha...
Anaweza kuwa na mzigo 12% tu