Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu baba huwa anaongea cherehani cha mtoto. Ajaribu kutenganisha mambo ya club na maswala ya kiintelijensia hasa kwa wadhifa alionao. Huku mitandaoni watuachie sisi watu baki ndo tuchonge midomo
Na kuna watu wanamtetea,haya masuala ni ya kukalia pembeni na sio kuweka ushabiki wa vyama iwe soka au mpira.
 
Kutonawa mikono vizuri kwa maji salama na sabuni kunaweza kukakuleta madhara kama ya kuhara. Baadhi ya watu hawapendalei kunawa mikono yao na maji safi na salama yanayotiririka wakitoka chooni, hali hii imekuwa ikitokea na husababisha waweze kupata magonjwa lama ya kuarisha.
 
Usipo nawa mikono vuzuri unazoa vijidudu na kwenda navyo sehemu nyingine kama vile ukimpa mtu mkono unamuachia vijidudu vichafu ama ukienda kula pia unaamisha vijidudu hivyo katika chakula na unavila.
 
Wataalamu wa masua ya afya wanasisitiza ni wajibu kwa kila mmoja kunawa mikono yake kwa maji safi na salama kabla na baada ili kuuwa vijidudu hivyo na pia kila utakapo chooni hakikisha unanawa na kujifuta vizuri mikono yako na kitambaa chako maalumu, ambacho kitakuwa kinafuliwa kwa usafu mara kwa mara. Ukifanya hivyo unaweza kuepusha maradhi ya tumbo mara kwa mara ambnayo yangeweza kukugharimu hata uhai wako.
 
Wataalamu wa masua ya afya wanasisitiza ni wajibu kwa kila mmoja kunawa mikono yake kwa maji safi na salama kabla na baada ili kuuwa vijidudu hivyo na pia kila utakapo chooni hakikisha unanawa na kujifuta vizuri mikono yako na kitambaa chako maalumu, ambacho kitakuwa kinafuliwa kwa usafu mara kwa mara. Ukifanya hivyo unaweza kuepusha maradhi ya tumbo mara kwa mara ambnayo yangeweza kukugharimu hata uhai wako.​
 
Utafiti uliofanywa nchini Marekani umegundua kuna aina kadhaa za kucha zenye muonekano mbalimbali ambapo kila muonekano unatabiri upungufu au ongezeko la kitu fulani katika mwili wa binadamu.
Aina ya Kwanza ni kucha zenye vidoti vidoti vyeupe, utafiti umebainisha kuwa mtu mwenye kucha zenye muonekano huu ana upungufu wa madini mwilini aina ya Calcium na Zinki, lakini pia vidoti huashiria ugonjwa wa Alegy, ugonjwa huu hutokea pale ambapo mwili kutokupatana na baadhi ya vitu au chakula matokeo yake ukikutana na vitu hivyo mwili humwaga sumu ambayo hudhuru eneo fulani la mwili lililokutana na kitu hiko ambapo wengine huwashwa na kuvimba, wengine hutoka vipele huku wengine hutokwa na vidonga au majipu kila mtu ana namna yake ambayo anaweza kudhurika na vitu ambavyo havipatani na mwili wake.
 
Aina ya pili ni kucha yenye mstari mweusi katikati, kucha aina hii huashiria ugonjwa wa kansa ujulikanao kama Melanoma, hii ni kansa ya ngozi, dalili hii ilielezwa na Profesa Sanchia Aranda ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kansa Australia.
 
Aina ya tatu ni aina ya kucha yenye alama nyeupe alama ya nusu mwezi mwanzoni mwa kucha, hii inaashiria mtu huyu ana mmeng’enyo mzuri wa chakula, mwilini pamoja na afya ya tezi za mwili.
 
Na aina ya nne ni kucha ambazo hazina alama ya nusu mwezi kucha hizi humaanisha mtu ana udhaifu na afya mbovu, Hii husababisha msongo wa mawazo, kubadilikabadilika kwa ”mood” ya mtu, kuongezeka uzito na kuwa na nywele nyepesi.
 
Back
Top Bottom