Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mama na binti yake haocapitalpool njoo ukague rangi za taya [emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7]
Mama na binti yake haocapitalpool njoo ukague rangi za taya [emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7]
Yaani paap unaanza kuliwa ukiwa hai. Hii food chain hii nayo mhhh !!!
Huyu baba huwa anaongea cherehani cha mtoto. Ajaribu kutenganisha mambo ya club na maswala ya kiintelijensia hasa kwa wadhifa alionao. Huku mitandaoni watuachie sisi watu baki ndo tuchonge midomoOfisa Habari wa Simba, Haji Manara amekamatwa na polisi kutokana na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’.
Manara alikamatwa jana jioni na kuachiwa kabla ya leo asubuhi Oktoba 12, 2018 kukamatwa tena na polisi.
Akithibitisha kukamatwa kwa Manara, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema Manara anashikiliwa kutokana na kusambaza taarifa za tukio hilo kwenye mitandao ya kijamii kwa madai ya kutumwa na familia, jambo ambalo si kweli.
Mpaka saa 9:55 alasiri ya leo Ijumaa Oktoba 12, 2018, Mo Dewji ametimiza saa 34 tangu alipotekwa Alhamisi asubuhi katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam.
Kigali au au ni Mbulu?
[emoji16][emoji16]Nilijaribu kusoma Kiarabu kikanishinda. Lugha mojawapo ngumu kabisa hii ujirani na Kichina !!!
Duh Afrika yetu hii na bado tunahitaji kuheshimiwa na watu wa mabara mengine