moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
kwani wewe ni kimbao mbao mwiko wa pilau??
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hahahahaha no comments 🤣🤣🤣🤣
kwani wewe ni kimbao mbao mwiko wa pilau??
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hahahahaha no comments 🤣🤣🤣🤣
bora nini...Hahahahaha bora.
AminaMungu atupe jioni njema
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mwanaume mmoja Raia wa Peru amemuacha Mke wake baada ya kuona picha za mahaba za Mke wake akiwa na Mwanaume mwingine kupitia Google Maps, Mwanaume huyo alikuwa akitafuta namna ya kufika ktk daraja la Lima na ndipo Google Maps ilipomuonesha picha hizo.
mmh..hapa hata simba atakuwa..nyau!
Ndukiiii [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hongera au pole? Mwenzio kidogo nife halafu unanihongeresha? [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaah kumbe tukio lilikua mubashara kabisa? Hongera sana
Kwema nashukuru, nipo mkuu, majukumu ya ujenzi wa taifa letu "kongwe" yalitatiza. Poleni kwa mapito ya MichaelSiku mbili tatu haupo. Kwema ulikokuwa?
Shukuru kutoka..Hongera au pole? Mwenzio kidogo nife halafu unanihongeresha? [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilijaribu kusoma Kiarabu kikanishinda. Lugha mojawapo ngumu kabisa hii ujirani na Kichina !!!Waalayka salam moudgulf.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]50/50
Shwari mkuuNzuri,za kwako
Hata pesa unazopata sidhani kama utazitumia kwa jambo la maana [emoji16][emoji16][emoji16]BIASHARA ZINGINE BWANA...
AsantePoleni sana.
Wanawake wanaopaka wanja chini ya macho, na wale wanaobandika kope bandia, wapo hatarini kupata upofu kutokana na maji yanayotumiwa kugundisha kope hizo ambayo huingia kwenye macho. Hayo yamesemwa na Dkt Bernardetha Robert, katika kilele cha siku ya afya ya macho duniani.
Nilijaribu kusoma Kiarabu kikanishinda. Lugha mojawapo ngumu kabisa hii ujirani na Kichina !!!