myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Pole mingi sana...Kuna watu kama laki 5 hivi bado wapo gizani.
Sita wamepoteza maisha mpaka sasa. Uharibifu mkubwa hasara ya mabilioni ila maisha yanendelea.
Kuangukiwa na miti na mafuriko. Wengine hawajulikani waliko bado wanatafutwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kuangukiwa na miti na mafuriko. Wengine hawajulikani waliko bado wanatafutwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
BIASHARA ZINGINE BWANA...
Shukrani mkuu nafurahi pia kuitikia wito, mimi nipo sema siunajua tena mambo flani flani niniHahaha, thanks man.
Vipi ulipotelea wapi aisee....
Nimefurahi sana kukuona hapa.
Upate Na muhogo wa kuchemsha pembeni [emoji39]
Hahaah kumbe tukio lilikua mubashara kabisa? Hongera sanaNiko napambana nao mmoja hapa laivu bro...Nikizubaa nitaelemewa aisee....
Naona watalii wanapenda sana kuangalia hiyo kitu...Tupo kwenye sherehe ya kushuhudia kuhama kwa nyumbu View attachment 895858